Majadiliano:Kunguru

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimetengua badiliko la picha kwa sababu mbili hasa:

  1. picha mpya ilionyesha aina ya kunguru asiyoishi Afrika,
  2. kichwa cha picha kinasema Kunguru chingo-kahawia, kwa hiyo picha ionyeshe aina hiyo.

Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 14:14, 15 Oktoba 2009 (UTC)[jibu]

Hamna tabu mzee wangu. Niliipenda ile picha bila ya kutazama kichwa cha picha kinasemaje! Pia, kutojua kama makala imetaja kunguru wa Afrika tu bila wa mabara mengine na kadhalika. Ahsante kwa marekebisho yako.--196.41.37.186 14:43, 15 Oktoba 2009 (UTC)[jibu]