Majadiliano:Kuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Badiliko la picha[hariri chanzo]

Chicharito. Ninaona badiliko la picha saa hii tu. Kwa nini unasisitiza kuibadilisha? Una tatizo la maadili kuona picha ya kuma? Kama ni hivyo kwa nini hukubadilisha picha ya mboo? Ama hujali kuona hii? Angalau ungaliweka maelezo chini ya mchoro wa kuma. Nilirudisha picha. ChriKo (majadiliano) 14:46, 21 Julai 2019 (UTC)

Sijui tofauti za hizo picha, lakini nilishangaa kuona makala hii kushika nafasi ya pili kati ya kurasa zote za mwezi mzima! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:54, 22 Julai 2019 (UTC)