Majadiliano:Kongowe

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pia katika mkoa wa pwani kuna eneo jingine linalotumia jina kongowe. Eneo hili linapatikana kwenye mpaka kati ya mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani kwenye wilaya za temeke na mkuranga. Kongowe hii ipo katika Kijiji cha kipala mpakani, idadi ya watu inakadiriwa kufikia zaidi ya 6400. Katika eneo hili kuna taasisi Kama vile shule za sekondari ya St. Matthews, Kizumba sekondari, Centennial Christian Secondary School.

Start a discussion about Kongowe

Start a discussion