Majadiliano:Kolesteroli

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia inatumia "kolesteroli". Ilhali makala yenyewe inacheza kati ya maumbo ya "Kolestro" na "Kolestero" nahamisha sasa kwa kolesteroli. Kipala (majadiliano) 11:12, 20 Aprili 2018 (UTC)[jibu]