Majadiliano:Kizulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mabadiliko[hariri chanzo]

Kwa mhariri wa kwanza: naona wajitahidi asante. Nimehariri makala kidogo unavyoona. Hasa kwa kuweka viungo vya aina tatu

  1. kuingiza mabano ya mraba hivyo kuunda viungo vinavyomwelekeza msomaji kwa makala mengine
  2. kuingiza jamii yaani "category" inayoweka makala katika orodha za lugha za Afrika Kusini
  3. kuingiza viungo vya "interwiki" vinvyoungana makala hii na makala za wikipedia kwa lugha mbalimbali

Bila viungo vya aina hii uwezekano ni mkubwa ya kwamba makala yako italala tu haipatikani kwa wasomaji wengi.

Ukipenda kuendelea kuchangia tazama Msaada wa kuanzisha makala. Ingekuwa afadhali ukijiandikisha kwa kufungua akaunti. Baadaye ni rahisi zaidi kushauriana. Karibu! --Kipala 13:56, 15 Septemba 2007 (UTC)