Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Kisangu (lugha ya Tanzania)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sehemu nyingi za makala hiyo zinaonekana kama zimenakilishwa kutoka kitabu bila kuweka nukuu vizuri. Tena, sehemu nyingi zinahusu jamii ya Wasangu (na hata makabila mengine) lakini hazifai kwa makala kuhusu lugha. Kwa hiyo makala isafishwe na sehemu zi wekwe katika makala nyingine ifaavyo. --Baba Tabita (majadiliano) 17:19, 18 Mei 2014 (UTC)[jibu]