Majadiliano:Kinyala
Mandhari
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Kinyala. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Kinyala ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
kijiji chetu cha kipande
[hariri chanzo]naitwa daud zabroniasukile mkazi wa kata ya kinyala kipande kijiji chetu cha kipande kimekuwa kama ni cha mwisho katika watu walioelimika kidogo na mimi ndiyo nimeelimika kwa mfano umeme hamna pia na vizuri vizuri vyote vipo huku mjini sasa tusaidie angalau umeme tuu