Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Kingala (Kongo)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kingala au Kilingala?[hariri chanzo]

Bwana Kwamikagami, salaam. Nimeona umebadilisha viungo vyote vya Kilingala kuwa Kingala. Bahati mbaya, siwezi kupata jina hilo mtandaoni. Ukigoogle "Kingala" ni jina la kijiji au la mtu lakini ukigoogle "Kilingala" utapata lugha. Linganisha http://www.google.co.ke/search?q=Kingala+kwenye&ie=utf-8&oe=utf-8&aq=t&rls=org.mozilla:en-US:official&client=firefox-a na http://www.google.co.ke/search?q=Kilingala+kwenye&ie=utf-8&oe=utf-8&aq=t&rls=org.mozilla:en-US:official&client=firefox-a Naomba utafakari na kurudisha hali ya Kilingala. Asante. --Baba Tabita (majadiliano) 18:09, 14 Desemba 2011 (UTC)[jibu]