Majadiliano:Kiluwiluwi (ndege)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Kiluwiluwi)
Tunahitaji kutofautisha ndege na kiluwiluwi kama nagazi ya metamofosi wa chura na amfibia wengine. Tufanyeje? --Kipala (majadiliano) 19:36, 10 Desemba 2008 (UTC)
- Nimesogeza ukurasa. ChriKo (majadiliano) 23:16, 10 Desemba 2008 (UTC)
- Asante, kiluwiluwi ni zaidi hali ya metamofosi ya wadudu; inatumiwa pia kwa amfibia (en:tadpole) lakini KAST ina neno "ndumbwi"; siwezi kuiona katika kamusi nyingine lakini nitaendelea nalo. --Kipala (majadiliano) 06:29, 11 Desemba 2008 (UTC)