Majadiliano:Kikosi Cha Mizinga
Mandhari
Mwenye anwani hii 209.136.56.4 ndiyo aliyongeza maelezo ya msingi zaidi katika makala ya hii Kikosi Cha Mizinga. Anaonekana kuwa mmoja wao, lakini kwa bahati mbaya hakujisajili walau tupate kujadiliana mengi kuhusiana na wao! Mengineyo, naona na pata msiba wa waandishi wasiokuwa na majina katika Wikipedia hii. Labda hawajafahamu namna ya kujiunga na sijui inakuwaje? Naona tuvte muda na mambo yatakaa sawa!!!--Mwanaharakati (majadiliano) 05:14, 30 Agosti 2008 (UTC)