Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Kigweno

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

(Matini ifuatayo imehamishwa hapa kutoka ukurasa wa makala hadi mtu ataihariri na kurudisha habari za kikamusi kwenye makala Kipala (majadiliano) 07:22, 1 Aprili 2015 (UTC))[jibu]

LUGHA YA KIGWENO NI LUGHA INAYOzungumzwa katika wilaya ya mwanga hasa katika maeneo ya Vuchama , Mangio ,Mcheni Mwaniko Kifula Masumbeni Msangeni Kikweni Lambo, Simbomu na maeneo ya shighatini kwa kiwango kidogo ieleweke kuwa wazungumzaji wa kigweno ni wengi kuliko ilivyoelezwa hapo juuu kwani tarafa yote ya ugweno huzungumza kigweno kama lugha mama na kiswahili ni lugha ya pili jambo la tofauti ni kuwa wagweno wakati mwingine huweza kuwa wamahiri wa kuzungumza lugha ya kipare ambapo wapare wao hawajui kipare wao hubakia na lugha moja tu ya kipare ambacho huzungumzwa hsangi maeneo ya Mwanga yaani tambarare na maeneo ya wilaya ya same. Hivyo watumiaji wa lugha ya kigweno wanakadiriwa kufikia 40,000 na zaidi na sio kama ilivyoainishwa hapo juu kuwa wanakadiriwa kufikia 2000.hata hivyo wagweno wana ngoma zao zinazoitwa mdumange ambazo huchezwa usiku kwa kutumia mianzi(mirangikwa kigweno) kama ile inayoitwa" nakuokera karughu vamaie kasembelele.........." sifa kuu ya wagweno lugha yao haitumiki sana kwenye mitambiko maana watambikaji wote hutumia lugha za kipare wanapokuwa katika mambo yao ya mila