Majadiliano:Kigogo (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kigogo bado tunahitaji majina mengi au maana nyingi. Kwa mfano: hapa mjini Dar es Salaam tukisema kigogo basi ujue tumemaanisha mtu mkubwa sana mashuhuri. Hasa awe tajiri au mtu muhimu. Kwa Kiingereza humwita mogul. Pia kigogo ni kipande cha mti uliokatwa na kubakia umeukauka - aidha kiwe kigogo cha mnazi, muembe, mbuyu, mkoroshi, na kadhalika. Pia, kigogo lugha. Kigogo kata na kadhalika! Je, tuazishe ukurasa wa maana hizi zote?--MwanaharakatiLonga 14:59, 24 Juni 2010 (UTC)