Majadiliano:Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kipala: nini maana ya "Gadi wa Nyumbani"?

Ndesanjo, mimi sijaandika haya. Basi si Kiswahili cha Kikwanzaa (samahani!) lakini cha Kikenya, nadhani. Mwandishi alimaanisha "Homeguards" - hivyo jinsi wanamgambo walivyoitwa walioshirikiana na Waingereza kushinda Maumau. --Kipala 22:03, 12 Machi 2006 (UTC)

Question about geographical names[hariri chanzo]

Can anyone translate to Swahili geographical names listed below? Aotearoa (majadiliano) 08:27, 16 Novemba 2009 (UTC)

  • Mount Kenya National Park
  • White Highlands (area in the central uplands of Kenya)