Majadiliano:Kasoko
Jump to navigation
Jump to search
Makala hii kweli inatofautisha maana? Ninavyoona mimi, inaeleza kwa jumla halafu inarejea kwa aina fulani ya kasoko, yaani kasoko ya volkeno. Ningeshauri kuondoa "template" ya 'maana'. --Oliver Stegen 15:25, 10 Februari 2007 (UTC)
- Miaka 12 baadaye, hilo limefanyika! Pamoja na hayo, kuna tofauti gani kati ya kasoko ya dharuba na pigo la asteroidi? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:57, 26 Aprili 2019 (UTC)