Majadiliano:Karne ya 12 KK
Mandhari
Nilivyoandika jana katika majadiliano ya karne nyingine, ukurasa kama huu unasema miaka ya karne ni 1200 hadi 1101, lakini majedwali yanaonyesha 1199 hadi 1100. Nani arekebishe karne zote? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:02, 7 Novemba 2015 (UTC)