Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Karakana

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maana ya lemma[hariri chanzo]

Mwanzilishaji wa makala alichukua maana ya karakana kuwa "garage". Maana hii inawezekana lakini si maana yenyewe ambayo ni zaidi "workshop". Kimsingi ni mahali ambako fundi ana zana na ala na kutekeleza kazi yake ya kutengeneza au kukarabati bidhaa. Kipala (majadiliano) 18:55, 3 Aprili 2018 (UTC)[jibu]