Majadiliano:Kanisa Kuu la Azania Front
Mandhari
Kuhamishwa kwa ukurasa
[hariri chanzo]Jina la wenyewe ni "Azania Front Cathedral" linalotafsiriwa kuwa "Kanisa Kuu la Azania Front". Hakuna haja kuliita "Lutheran" maana hakuna kanisa lingine lenye jina la Azania Front. Ni uzoefu tu, heri tubaki na jina rasmi. Kipala (majadiliano) 11:48, 23 Januari 2017 (UTC)