Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Jumba la Sultani, Zanzibar

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Masahihisho

[hariri chanzo]

Kwa bahati mbaya makala ya Kiingereza (iliyokuwa msingi wa tafsiri hiyo) ina kasoro na makosa; kwa mfano jumba hilo si Beit a-Sahel; beit al Sahel iliharibika mwaka 1897 kwenye vita fupi, na jengo la sasa ni jumba lililojengwa badala yake, sijaona ushuhuda iliendelea kuitwa vile. Naongeza vyanzo. Kipala (majadiliano) 19:36, 14 Machi 2021 (UTC)[jibu]