Majadiliano:John Sturges

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Eti kumbe raing zina maana yake!! Nilifikiri rangi unaweka upendavyo, kumbe iko tofauti na nilivyokuwa nafikiria.. Ukiweka rangi ya "Khaki" yaani, ipo kama njano fulani hivi, ujue huyo mtu bado yupo "Hai". Ukiweka rangi ya "Silver" basi eti huyo kafa!! Upo uwezekano wa kujua mtu kama kafa au yuhai kwa kufuata taratibu za rangi. Ni hasa wale wenye kupenda kutumia matemplate yaliyopo, yaani, mwanasiasa, mtu na mwiizaji, basi habari ndiyo hiyo!!!!!!--"Mwanaharakati" (talk) 14:45, 26 Februari 2008 (UTC)