Majadiliano:Intaneti
Mandhari
Mimi ninaamini kwamba neno "mtandao" badala ya "intaneti" ni nzuri zaidi. Je, kuna mtu anayejua ushauri wa TUKI ni nini kuhusu neno hili? Marcos 16:30, 9 Machi 2006 (UTC)
- "Mtandao" ni rasmi - hata kama vijana wengine (na zaidi Wakenya) hutumia neno "intaneti". --Kipala 17:29, 9 Machi 2006 (UTC)
- Najua kwamba vijana wanapendelea kusema "intaneti". Lakini tutumie lugha rasmi, au siyo? Marcos 21:04, 19 Oktoba 2006 (UTC)