Majadiliano:Ingolstadt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

mimi ni lucien kutoka ingolstadt, nafurai kuona kurasa na historia ya mji ya ingolstadt katika luga ya swahili, ambayo ime andikwa na wandugu zangu wa kongomani ambao niwa kaaji ya mjii huu mkuu wa ingolstadt,ki binafsi ni kurasa nzuri kwa dunia nzima ambao wanao ongoya swahili,...

Unakaribishwa katika kuongeza habari, ndugu!--MwanaharakatiLonga 11:17, 4 Julai 2013 (UTC)