Majadiliano:Ilembula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ilembula ni jina lenye asili ya kibena lenye maana kuchipua nalo limetokana na mti ulioko sehemu iitwayo Igula ni kitongoji ktkt Ilembula mtihuo ulikua ukichipua kipindi cha kiangazi na masika na ndo sababu kuu ya kuitwa ilembula, kwa kibena huitwa {lilembula},mti huo upo mpaka hivi sasa ktk makao ya romani Kathorik ktk kitongoji cha Igula, hio ndio asili ya neno Ilembula