Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Historia ya Wapare

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wapare walipoingia katika milima ya Upare waligawanyika katika makundi mawili ya wagweno na wasangi. Wapare wa Ugweno walikuwa na Kiongozi wao aliyejulikana kama "Mfumwa wa Vagweno" - Minja na wapare wa Usangi walikuwa na kiongozi wao aliyejulikana kwa jina la Sabuni. Kiongozi wa wapare wa Same alijulikana kwa jina la Kibacha wakati kule Gonja alijulikana kwa jina la Kigono.

Unganisha na Wapare

[hariri chanzo]

Makala hii inatakiwa kuunganishwa na "Wapare" na kuchukua nafasi yake. Maana hata hapa sehemu ya historia ni ndogo kuliko habari juu Wapare kwa ujumla. Pia nisipokosei sehemu za "Wapare" zinarudia hapa. Kipala (majadiliano) 06:26, 9 Desemba 2013 (UTC)[jibu]

Kichwa kirekebishwe

[hariri chanzo]

Wapare liandikwe kwa herufi ya kwanza kubwa. Asante ~~----