Majadiliano:Hifadhi ya Mikumi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwanzo ni mzuri; bado kazi
ushauri:

  • kichwa hakitakiwa mwanzoni mwa makala (wikipedia inakiweka tayari);
  • jina la mwandishi liondolewe;
  • viungo vya ndani vyatakiwa, k.m. kuweka "simba" katika mabano mraba iwe simba
  • jamii iwekwe
  • kuhusu tahajia ya majina ni vema kutafuta maneno kupitia dirisha la "tafuta" (kushoto) kwa mfano utakuta "selous" badala ya "selouse" na kuweka viungo ipasavyo.

KWA JUMLA: ANgalia wikipedia:Ukufunzi --Kipala (majadiliano) 07:09, 5 Desemba 2009 (UTC)[jibu]

Interwiki[hariri chanzo]

Interwiki yako haiwezi kufanya kazi. Ukinakili orodha unakili pamoja na kifupi cha lugha au wikipedia nyingine. Ukiongeza ndani ya mabano mraba "de:" kabla ya "Mikumi-Nationalpark" umeshapata interwiki kwa de:wikipedia. Yote ni: [[de:Mikumi-Nationalpark]] . Hii usiweke chini ya kichwa kwa sababu mara unaiweka inaonekana kando kabisa upande wa kushoto wa dirisha la kompyuta. Kichwa kitabaki bila kitu chini yake, ni bure. --Kipala (majadiliano) 22:55, 8 Desemba 2009 (UTC)[jibu]

elimu katika hifadhi[hariri chanzo]

kuna elimu kubwa katika endapo utaelekea katika hifadhi hii na kuona mambo mengi ambayo mengine tangu uzaliwe hujawahi kuona na mengine mengi na kadhalika.