Majadiliano:Hektari
Kichwa cha makala kiwe hekta badala ya hektari[hariri chanzo]
Hekta ndio neno halisi La kiswahili linalotumika mpaka sasa kuwakilisha. " hectare " neno la kiingereza, ingekua vizuri kuondoa mkanganyiko hapo Almasimagorwa (majadiliano) 04:24, 11 Novemba 2017 (UTC)