Majadiliano:Hassan bin Omari

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala ni ndefu sana, lakini imekuwa na lugha amabyo haieleweki na kuna kila dalili kuwa tafsiri ya mashine imetumika katika makala hiyo, wakati mwingine makala ina dalili kama aloiandika siyo mzungumzaji mzuri wa kiswahili Idd ninga (majadiliano) 17:05, 18 Oktoba 2021 (UTC)Reply[jibu]