Majadiliano:Göttingen

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa vile watu walianzisha ukurasa huu kwa kuwasiliana niliamua kuweka habari inayofaa ingawa mji huu haujulikani sana Afrika ya Mashariki wala hauna umuhimu upande wa Waswahili. Poleni! --Oliver Stegen 00:04, 29 Septemba 2006 (UTC)[jibu]