Majadiliano:Ethiopia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Habari Yosef, naona uko kazini nisiingilie kati tusivitane. Nimeona unafanya kazi kubwa kwa makal hii - Hongera. Naona tatizo moja la Uhariri: inaonekana umeandika kwa wordprocessor halafu kuinakili katika wikipedia. Hii imeleta mara nyingi mstari mpya kuanza kwa nafasi tupu. Ukianzisha mstari kwa nafasi tupu unapata

MATOKEO HAYA!! ambayo haipendezi sana usipoitaka kwa sababu maalumu

Nashauri uziondoe nafasi tupu hizi zote. Pia ni vema kutumia jina la makala "Jamhuri ya Shirikisho ya Kidemokrasia ya Ethiopia". Kiswahili kingine kitaangaliwa baadaye. --Kipala 18:57, 27 Machi 2006 (UTC)

Asante bwana kapala, nimeweza kuhariri vile ulivyosema, SHIDA nyingine ni kuhariri lugha kwa sababu mie katraslati kutoka kizungu moja kwa moja.

Big-up, Riccardo!--MwanaharakatiLonga 15:17, 18 Novemba 2010 (UTC)