Majadiliano:Dunia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ihamishwe "Dunia"[hariri chanzo]

Sababu: Ardhi si sayari, neno kwa kawaida humaanisha nchi kavu. Kamusi ya Kiswahili sanifu ya TUKI inataja "sayari" kama maana ya pembeni kwa ardhi lakini "dunia" kuwa ulimwengu; Kamusi ya Kiing-Kisw. ya TUKI inataja wazi kabisa "earth" ni "dunia".

Nasubiri siku moja kama wenzangu wanaona sababu nzuri kupinga hoja. --Kipala 11:45, 12 Februari 2006 (UTC)[reply]

Kwa nini umefuta neno "nchi"? Ndilo jina la Kibantu katika lugha nyingi za jamii hiyo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:47, 15 Desemba 2019 (UTC)[reply]