Majadiliano:Dawa ya kibiolojia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asante sana kwa makala muhimu! Swali tu kuhusu chaguo la lemma: je isingekuwa afadhali "viuawadudu vya kibiolojia"? yaani naona pia lemma ya kiingereza "Biopharmaceutical". Tukifik pale siku moja - iweje? Kipala (majadiliano) 18:14, 12 Aprili 2015 (UTC)[jibu]

Hii ni swala la kuvutia. Lakini usiwe na haraka kuhamisha ukurasa huu. Wingi mkubwa wa watu husema "dawa" wakikusudia "pesticide". Na "biopharmaceutical" siyo dhana ya kawaida. Tufikirie kitambo kiasi. ChriKo (majadiliano) 18:36, 12 Aprili 2015 (UTC)[jibu]
Kufikiri haina hasara (kwa kawaida)! Kipala (majadiliano) 19:51, 12 Aprili 2015 (UTC)[jibu]