Majadiliano:Damu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

NAMNA GANI INAWEZEKANA KUMSAIDIA MTU MWENYE UGONJWA WA SIKOSELI AINA YA 'AS' ILI KUONGEZA WINGI WA CHEMBECHEMBE NYEKUNDU ZA DAMU KWA NJIA ZA KAWAIDA KUPITIA AINA YA CHAKULA BADALA YA KUMWONGEZEA DAMU MOJA KWA MOJA?

Kwa nini katika Majadiliano?[hariri chanzo]

Sifahamu kwa nini matini haya yamewekwa katika Majadiliano. Labda Mtumiaji:Healthspeaks anaweza kutuelezea? ChriKo (majadiliano) 18:16, 1 Juni 2014 (UTC)[jibu]

Nadhani hakutaka kuandika juu ya makala iliyokuwepo tayari. Jinsi ilivyotokea mara kadhaa na waandishi wa mashindano ya google ambao hawakujali kama makala ilikuwepo au la. Tatizo lilikuwa ya kwamba wakitafsiri makala za Kiingereza kwa Kiswahili ni makala marefu yaliyotokea lakini mara nyingi Kiswahili kibovu au hata si Kiswahili ilikuwa supu isiyoeleweka ya maneno Kiswahili-Kiingereza kutoka google translate. Na mara kadhaa ilitokea hali ambako makala fupi iliyoeleweka ilibadilishwa kwa makala marefu isiyoeleweka- Kwa hiyo namsifu ndugu huyu asiyeandika juu ya matini iliyokuwepo. Nimeunganisha sasa makala zote mbili. Nimekosa muda kusoma yote lakini nimeweka chanzo cha makala ya kale (ambayo mimi nadhani inasomeka rahisi) kama chanzo cha makala yote. Kipala (majadiliano) 19:14, 1 Juni 2014 (UTC)[jibu]