Majadiliano:DNA ya mitokondria
Mandhari
Jina lisilotegemewa
[hariri chanzo]Nani amefikiria tafsiri hii? Maana ya "DNA ya mviringo" kwa Kiingereza ni "circular DNA". DNA kama hii haipatikani katika mitokondria tu lakini katika seli zote za prokarioti. "DNA ya mitokondria" (au ADN ya mitokondria?) ni bora. ChriKo (majadiliano) 19:05, 7 Aprili 2015 (UTC)
- Ndugu, sahihisha unavyoona vema. Jina hilo nimelitumia kwa muda mrefu ili kutofautisha DNA hiyo na ile ya mstari. Nilisema mara kadhaa mimi si mtaalamu wa sayansi. Ila naona mada ni muhimu. Nilifurahi kukufahamu Morogoro. Karibu tena! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:26, 9 Aprili 2015 (UTC)
- Haidhuru Riccardo, nilifikiri kwamba ulipata msemio huu katika kamusi fulani au mahali pengine. Sawa basi, nitasahihisha jina la ukurasa. Hata mimi nilifurahi kukufahamu Morogoro. Kila la heri! ChriKo (majadiliano) 21:16, 9 Aprili 2015 (UTC)