Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Coast to Coast

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jamani hizi template nyingine zinapatikana hapa. Dawa nzuri ni kuchungua katika makala zilizopo ili kuchungua namna tulivyofanya - kuliko kukandika maneno moja kwa moja. Hii siyo nzuri kabisa. Tunatakiwa tuulize au kama huwezi, basi weka maandishi kwenye ukurasa wake wa majadiliano (yaani, ukurasa wa majadiliano wa makala)! Tukiwa twauliza, basi mengine yatakuwa rahisi kutenda kuliko kujifanyia tu! Hongera. Nitasawazisha baadaye kwa sababu muziki ndiyo makala ninazojua zaidi. Kila la kheri.--MwanaharakatiLonga 04:49, 28 Desemba 2009 (UTC) [jibu]