Majadiliano:Civitas Popthensis
Mandhari
Civitas Popthensis ulikuwa ni mji wa kale wa Roma na Berber na sasa upo maeneo ya Henchir Kssiba ndani ya halimashauri ya Ouled Moumen kwenye mkoa wa Souk Ahras, Algeria.Jina "Civitas" lilitokana na neno la kilatini la civis maana ya ilikuwa "mji", hii ni kuashiria kuwa mji ulikuwa ukijiendesha kisiasa..[1]
Marejeo
[hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Majadiliano:Civitas Popthensis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |