Majadiliano:Choo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Masahihisho ya mtumiaji:Telliej[hariri chanzo]

Sehemu ya masahihisho yake narudisha tena. Ilhali makala inajadili kwa nini watu husikia harufu za kinyesi kuwa mbaya, haitoshi kusema "iliyo mbaya" maana kuita kitu kibaya kunategemea na mtazamo. Kwa macho ya sayansi hakuna harufu mbaya au mzuri ila tu viumbe tofauti husikia harufu kwa namna tofauti kutokana na hatari au faida inayokuja kwao na harufu husika.Kipala (majadiliano) 09:54, 26 Oktoba 2018 (UTC)