Majadiliano:Chiyonofuji Mitsugu
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Baba Tabita in topic Umbo
Umbo
[hariri chanzo]Makala hii inaonekana kama imetafsiriwa kwa mashine bila kurekebishwa baadaye. Maneno ya Kiingereza yamebaki humo (k.m. "bettered"), tena karibu kila sentensi ina makosa ya kisarufi na ya kitahajia. Irekebishwe punde iwezekanavyo. --Baba Tabita (majadiliano) 20:11, 2 Oktoba 2010 (UTC)