Nenda kwa yaliyomo

Centuria (Numidia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Centuria ulikuwa mji wa Numidia, mkoa wa Dola la Roma uliokuwa kaskazini mwa Afrika. Unatambulika zaidi kwa magofu yaliyokuwepo karibu na Ain El Hadjar[1], nchini Algeria [2][3], kusini mwa Saida.

  1. H. Jaubert, "Évêchés Anciens et ruines chrétiennes de la Numidie et de la Sitifienne", in Reports of Notices et Memoires de la Société archéologique de Constantine, vol. 46, 1913, p. 31.
  2. Jean-Marie Lassère Onomastica africana V–VIII, Vol 18 Antiquités africaines 1982, 1 (pp. 167-175.
  3. Michael Greenhalgh, The Military and Colonial Destruction of the Roman Landscape of North Africa, 1830-1900 (BRILL, 8 May 2014)
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Centuria (Numidia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.