Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Bwambo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyongeza

[hariri chanzo]

Tarehe 20 Agosti 2013, mtu asiyesajiliwa aliongeza yafuatayo akifuta yote mengine yaliyomo: "bwambo ni kata iloyoko wilayani same,bwambo ina oganaizasheni inayoitwa bwambo health farm inayomilikiwa na Agripa Elirehema,ambayo inahusiana na maswala ya afya katka jamii yote ya bwambo,tanzania,afrika na dunia kwa ujumla.ukipenda tembelea zaidi tovuti ya www.bwambohealth.blogspot.com." - Nimerejesha hali ya makala nikiingiza habari za nyongeza humo kurasani mwa majadiliano. --Baba Tabita (majadiliano) 14:15, 27 Agosti 2013 (UTC)[jibu]