Majadiliano:Busawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nimerudisha hali ya awali kwa sababu 2: 1) ni kosa baya kufuta yaliyomo yote ya ukurasa na kuharibu kazi ya watu waliotangulia (isipokuwa kama hali ya awali ilikuwa baya). Hapa viungo vyote na habari za kimisngi zilifutwa 2) maandishi mapya yalikuwa a)Kiingereza kitupu na b) hayafai kwa kamusi elezo ni pendekezo la mradi fulani. --Kipala (majadiliano) 14:55, 10 Juni 2010 (UTC)