Majadiliano:Bunge la Tanzania

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuna mtu leo ameondoa orodha ya wabunge wa Tanzania katika ukurasa bunge. Hiyo ni sawa, lakini si vizuri kuihamishia humo badala ya kuifuta tu? Au imepitwa na wakati? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:28, 6 Oktoba 2017 (UTC)Reply[jibu]