Majadiliano:Bombwe (sanaa)
Mandhari
Makala hii na viungo vingine vya wiki - havileti maana hata kidogo. Sanaa ya upakaji hina si ile sanaa ya mawe ama kuchonga vinyago. Iweje Bombwe ielekezwe huko? Kwa hili, tunapotosha watu waungwana.--MwanaharakatiLonga 04:49, 19 Februari 2011 (UTC)