Majadiliano:Asidi amino

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina hili ni sahihi?[hariri chanzo]

Nani anaweza kusema kama "Amino asidi" ni jina sahihi? Mimi nilifikiri kwamba ni "Asidi-amino" au "Asidi ya amino". Ningependa kuhamisha ukurasa huu. ChriKo (majadiliano) 22:26, 12 Februa ri 2015 (UTC)

Naomba uulize tena wiki ijayo. Sasa niko nje safarini siwezi kuchungulia kamusi. Nadhani nimeipata kutoka KAST (lakini heri niangalie...). Nakubali ya kwamba moyoni mwangu naona iwe tofauti jinsi unavyopendelea. Nikifanya jaribio la google "kwenye amino" ni kurasa chache sana, pamoja na ukurasa wetu "amino asidi" kuna pia mara kadhaa "asidi amino", mara nyingi zaidi Kiingereza "amino acid" ndani ya matini ya Kiswahili na pia "tindikali za amino". Binafsi nafurahi mkutano wa Morogoro itanipa nafasi kutafuta kamusi za kisasa kama zipo. Kipala (majadiliano) 00:08, 13 Februari 2015 (UTC)[jibu]