Majadiliano:Asha Abinallah

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je, ni maarufu kweli? Anastahili kuwa na ukurasa katika kamusi elezo? Hata mwaka wa kuzaliwa na nchi hatujui! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:46, 6 Februari 2018 (UTC)[jibu]