Majadiliano:Arusha Poetry Club
Mandhari
Hii ni makala kuhusu shirika muhimu inayohitaji bado kazi.
- Hatuwezi kutaja majina kama "Washairi maarufu" bila kuonyesha umaarufu wao.
- haieleweki je historia ya ushairi wa Tanzania una uhusiano gani na kundi hili - heri kufuta sehemu hii
- makala haielezi kalbu hii inafanya kazi gani na kwa njia gani
- ni afadhali kuthibitisha maelezo kwa njia ya tanbihi na vyanzo (mfano: mikutano na washairi wa ng'ambo ilitokea lini na wapi? halafu taarifa ktk gazeti, tovuti)