Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Antisemitism

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antisemitisim maana yake ni kupambana na Uyahudi. Wakati neno semitism ni Uyahudi. Mfano wapo watu huchukia Wayahudi, sasa ili kupambana na watu wanaowachukia Wayahudi, tunaita Antisemitism. (mchango usiotiwa sahihi wa mtumiaji:‎Andrew Shemson tar 19-07-2019)

Tafsiri ya antisemitism ni zaidi "Chuki dhidi ya Wayahudi". Neno la Kiingereza ni tata kidogo maana "semitic" inarejelea "Semites" ambazo ni wasemaji wa lugha za Kisemiti kama Kiarabu, Kiebrania na pia Kiamhari. Lakini inalenga Wayahudi pekee. Kwa Kiingereza watu wanaochukia Wayahudu ni "Antisemites". Kipala (majadiliano) 12:30, 19 Julai 2019 (UTC)[jibu]