Majadiliano:Andrey Marcel Ferreira Countinho
Mandhari
Nimewekea masahihisho madogo kadhaa. Hasa taipo. Kama nchi imeandikwa [[Blazil] badala ya "Brazil" basi kiungo hakifanyi kazi!
Halafu: haitakiwi kuita timu "klabu mashuhuri"; kama ni mashuhuri wote wataijua na si lazima kuandika. Kama watu hawajui jina basi ni uwongo kuandika hivi. kama ni nia ya kusifu klabu basi hapa ni wikipedia, tunakusanya habari hatusifu (tunaweza kukusanya habari za mawazo kuhusu sifa au malalamiko..). Wasalaam, nafurahi kama wanamichezo wanaendelea kuchangia kuhusu michezo. Kipala (majadiliano) 10:38, 8 Agosti 2015 (UTC)