Majadiliano:Anderson makubo
Mandhari
Nawasalimu sana watu wa tanzania
UDINI TANZANIA
[hariri chanzo]Nchi yetu kwa sasa inakwenda siko watu wameanza kuuliza waisilam wangapi wakilistu wangapi selikalini kwamfano mzuri serikali ilitoa majengo yaliyo kuwa ya TANESCO morogoro ikawapa waisilamu wawe na chuo kikuu chao hivi inge kitoa kwa wakilistu ingekuwaje? waisilamu wage andamana nchi nzima.
We mbunye, wacha kuzuga. Juzijuzi tu, nimetoka makao makuu ya TRA, karibia floor nzima ni Wakristo. Unadhani Waislamu hawana vigezo? Katika sekta nyingi za UMMA kumejaa Wakristo tu. Utake usitake. Kifupi, hizi si habari za kuja katika Wikipedia. Tafuta mahali pengine.--MwanaharakatiLonga 12:06, 22 Aprili 2013 (UTC)