Majadiliano:Anarchisim barani Afrika

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sijachungulia kama mwandishi alitumia google translate. Kwa namna yoyote, matini hii haina maana ikijaa makosa mabaya mno. "Anarchic" inatafsiriwa mara kama "anarchisim" - ilhali tuna makala ya uanakisti, maana hajafanya utafiti wowote. Sehemu nyingine anatafsiri "anarchic elements" kama "mambo ya kishirikina". ""anarchic" features of traditional African societies" ametafsiri kama "baadhi ya "anarchic" makala ya jamii za jadi za Kiafrika". Hii ni haiwezekani. Hajui Kiswahili? Au haelewi hata kidogo anachojaribu kutafsiri??? Ifutwe. Kipala (majadiliano) 23:54, 1 Julai 2021 (UTC)[jibu]