Majadiliano:Amra (tunda)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina la tunda[hariri chanzo]

Millikan salaam. Kwa nini umechagua "amra" kwa jina la tunda hili? Jina hili linatoka Bangladesh na nchi hii siyo asili ya tunda hili. Ninapendelea "jobo" kwa sababu jina hili linatoka kwa lugha ya Kikaribi katika asili ya tunda. ChriKo (majadiliano) 17:17, 10 Septemba 2017 (UTC)[jibu]