Majadiliano:Aïssata Kane

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aïssata Touré Kane (18 August 1938 – 10 August 2019) alikuwa ni mwanasiasa wa Mauritania na mwanamke wa kwanza kuhudumu serekalini kama waziri.Baada ya kuwa kiongozi wa vijanawa kike nchini Mauritania wa chama cha watu, alihudumu kwenye baraza la mawaziri chini ya raisi Moktar Ould Daddah kutoka 1975 hadi 1978.Katika hicho ndiyo serikali ilipiduliwa.